M
PakuaToleoWaelekeziWahasibuJukwaaToleo la Wingu

Mfumo Laini wa bure

Manager.io ni mfumo laini wa bure wa uhasibu kwa ajili ya Windows, Mac na Linux.

Kampuni ya Demo
Muhtasari
Taarifa ya Hali ya Kifedha
Rasilimali
60,261
Wadaiwa
35,565
Fedha taslimu na usawa
14,565
Bidhaa ghalani
5,675
Rasilimali thabiti, kwa gharama
4,456
Dhima
28,130
Wadai
24,565
Kodi inayopaswa kulipwa
3,565
Taarifa ya Mapato na Matumizi
Mapato
21,130
Mauzo
20,565
Riba Pokelewa
565
Matumizi
23,513
Gharama za Kihasibu
5,656
Matangazo na uhamasishaji
8,945
Vifaa vya kompyuta
3,254
Matengenezo na vifaa
5,658
Uhasibu Kamili wa Vipengele
Hii ni programu ya uhasibu ya bure iliyo kamili zaidi. Ina sifa zote unazotarajia kutoka kwenye paketi ya uhasibu na tunaendelea kuongeza zaidi.
Bure Milele
Unaweza kutumia programu hii kwa muda mrefu upendavyo, utumie vipengele vyote na uingize data nyingi upendavyo. Hakuna mipaka ya muda, hakuna mipaka ya matumizi, hakuna matangazo.
Fanya kazi bila mtandao
Kazi yako yote inaweza kufanyika bila mtandao kwenye kompyuta yako ya mezani au kompyuta ndogo ikimaanisha huwezi kupoteza ufikiaji wa data yako au programu iwapo mtandao wako haufanyi kazi au haupatikani.
Jukwaa-linalovuka
Inapatikana kwa kupakuliwa kwenye Windows, Mac OS X, na Linux. Muundo wa hifadhidata ni wa kimataifa kwenye mifumo yote ya uendeshaji ambayo inamaanisha faili ya uhasibu iliyoundwa kwenye Windows inaweza kuhamishwa kwa urahisi kwenda Mac OS X au Linux iwapo haja itatokea.

Products
Toleo la Eneo-kaziToleo la WinguToleo la Seva
Msaada na maelekezo zaidi piga simu 0625512064
WaelekeziJukwaa
Washirika
WahasibuWauzaji tena
Shiriki
WebTranslateIt