M
PakuaToleoWaelekeziWahasibuJukwaaToleo la Wingu

Toleo la Wingu

Programu ile ile ya Uhasibu lakini katika Wingu

Hakuna usakinishaji, ufikiaji popote kwa timu yako yote

Toleo la Wingu

  • Uhasibu Kamili wa Vipengele
  • Rahisi Kusanidi
  • Tumia kwenye Kompyuta za Mezani / Laptops
  • Tumia kwenye Tableti/Simu
  • Hakuna cha Kusakinisha
  • Ufikiaji wa Mbali
  • Ufikiaji wa Watumiaji Wengi
  • Ruhusa za Mtumiaji
  • Hifadhi Nakala za Kiotomatiki
  • Masasisho ya Kiotomatiki

Tembelea tovuti ya wauzaji tena wa eneo lako kwa bei na majaribio ya bure.

Wauzaji tena

Toleo la Eneo-kazi

  • Uhasibu Kamili wa Vipengele
  • Rahisi Kusanidi
  • Tumia kwenye Kompyuta za Mezani / Laptops
Pakua bure kabisa
Mteja wa sasa?
Portal ya WatejaHali ya Huduma
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Je, tunalipa zaidi kwa watumiaji au biashara zaidi?

Hapana. Hatukutozi kulingana na idadi ya watumiaji au biashara unazoongeza. Iwe 5 au 50, bei ni ile ile. Kama una biashara nyingi, unaweza pia kuainisha biashara zipi zinaonekana kwa watumiaji gani. Ni nzuri kwa wahasibu wenye wateja wengi.

Je, mnatoa punguzo?

Tunajitahidi kupanga bei za huduma zetu kwa haki na kwa uwazi kwa wateja wetu wote, ndiyo sababu hatutoi punguzo. Lengo letu ni kutoa thamani ya kipekee inayozidi gharama, hata kwa bei kamili. Tunaelewa kuwa bei yetu inaweza isilingane na bajeti ya kila mtu, hivyo tunatoa pia toleo la eneo-kazi la bure, ambalo linaweza kuwa mbadala unaofaa kwa wakati huu.

Je, tunaweza kufuta usajili wakati wowote?

Unaweza kufuta wakati wowote bila adhabu au usumbufu. Na tofauti na mifumo mingi ya uhasibu ya mtandaoni ambayo inakufunga ndani, unaweza kupakua data zako zote kutoka wingu na kuendelea kutumia toleo la eneo-kazi bila malipo.

Products
Toleo la Eneo-kaziToleo la WinguToleo la Seva
Msaada na maelekezo zaidi piga simu 0625512064
WaelekeziJukwaa
Washirika
WahasibuWauzaji tena
Shiriki
WebTranslateIt