M
PakuaToleoWaelekeziWahasibuJukwaaToleo la Wingu

Pakua

Sakinisha kwenye Kompyuta yako ya Mezani au Laptop

Hakuna muunganisho wa intaneti unaohitajika. Yenye sifa kamili na bure milele.

Windows
Inahitaji Toleo la Windows 10 1607 (64-bit) au jipya zaidi
Mac
Inahitaji Mac OS X 12 au mpya zaidi
Linux
Inahitaji Ubuntu 20.04 (64-bit) / Fedora 38 (64-bit) au mpya zaidi
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Ninawezaje kubadilisha lugha kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili?

Unaweza kubadili kwenda Kiswahili chini ya skrini. Kwanza, bonyeza kitufe cha plus pembeni ya lebo ya English.

English+

Kisha bofya kwenye Kiswahili

Kiswahili
Ninawezaje kujifunza kutumia programu hii ya uhasibu?

Unaweza kujifunza kutumia Manager.io kwa kuchunguza kiolesura chake. Unapohama kati ya skrini, tafuta alama ya swali kwa mwongozo.

Wateja / WahusikaMteja Mpya

Bofya ikoni ya alama ya kuuliza ili kufikia mwongozo wa kina kwenye tovuti yetu unaolingana na skrini unayotazama kwa sasa.

Je, hii ni programu ya uhasibu inayotolewa bure asilimia 100?

Ndiyo. Unaweza kutumia toleo la eneo-kazi kwa muda wowote uupendao, utumie vipengele vyote na uingize data nyingi kama inavyohitajika. Hakuna mipaka ya muda, hakuna mipaka ya matumizi, hakuna matangazo.

Kama unatoa programu yako bure, mnawezaje kupata pesa?

Toleo la Eneo-kazi ni programu ya mtumiaji mmoja. Biashara zinazohitaji uwezo wa watumiaji wengi au upatikanaji kutoka mbali zitatumiwa Toleo la Wingu ambalo si bure.

Ikiwa ninatumia Mac, je, ninaweza kutuma faili langu kwa mhasibu anayetumia Windows?

Ndiyo. Data ya Manager inaendana katika mifumo yote ya uendeshaji. Unaweza kutengeneza nakala rudufu na kuirudisha katika kompyuta nyingine yenye mfumo wa uendeshaji tofauti.

Je, kitu gani kitatokea kwa data zangu ninapoendelea na sasisho?

Unapoboresha hadi toleo la hivi karibuni, data zako zitahamishwa kiotomatiki. Hata hivyo, tunapendekeza vikali ufanye nakala rudufu za data zako mara kwa mara iwe unaboresha au la.

Products
Toleo la Eneo-kaziToleo la WinguToleo la Seva
Msaada na maelekezo zaidi piga simu 0625512064
WaelekeziJukwaa
Washirika
WahasibuWauzaji tena
Shiriki
WebTranslateIt