Skrini hii inakuwezesha kuweka masalio anzia kwa akaunti za mizania za utaratibu ambazo umetengeneza chini ya Jedwali la Kasma.
Ili kutengeneza kiwango kipya cha mwanzo kwa akaunti ya mizania, bonyeza kitufe cha Kiwango Kipya cha Mwanzo.
Utachukuliwa kwenye skrini ya Salio Anzia kwa Akaunti ya mizania.
Kwa maelezo zaidi, onyesha: Salio Anzia — Akaunti ya mizania — Hariri