Fomu hii inaruhusu kubadili jina la akaunti iliyo ndani ya Ankara ya matumizi
.
Ili kufikia fomu hii, fungua Mpangilio
, kisha Jedwali la Kasma
, kisha bonyeza kitufe cha Hariri
kwa akaunti ya Ankara ya matumizi
.
Fomu inahusisha maeneo yafuatayo:
Ingiza jina kwa akaunti hii. Jina la msingi ni
Hiari, ingiza kasma ya akaunti. Kasmayo husaidia kuandaa akaunti na zinaweza kutumika kwa kutafuta na kuorodhesha katika taarifa.
Chagua kundi la
Ikiwa unatumia
Bofya kitufe cha
Akaunti hii haiwezi kufutwa, inajiwekea yenyewe kwenye
Kwa maelezo zaidi tazama: Ankara ya matumizi