Akaunti — Limbikizo la uchakavu, wa rasiimali
Fomu hii inaruhusu kubadili jina la akaunti ya kimasasisho ya rasilimali za kudumu, limbikizo la uchakavu.
Ili kufikia fomu hii, nenda kwa Mpangilio, kisha Jedwali la Kasma, kisha bonyeza kitufe cha Hariri kwa Rasilimali za kudumu, limbikizo la uchakavu Akaunti.
Fomu inahusisha maeneo yafuatayo:
Jina
Jina la akaunti. Jina la kawaida ni Rasilimali za Kudumu, limbikizo la uchakavu lakini linaweza kubadilishwa.
Kasma
Weka kasma ya akaunti ikiwa unataka
Kundi
Chagua kundi kwenye Taarifa ya Hali ya Kifedha ambako akaunti hii inapaswa kuwasilishwa.
Bofya kitufe cha Sasisha ili kuhifadhi mabadiliko yako.
Akaunti hii haiwezi kufutwa, inajiwekea yenyewe kwenye Jedwali la Kasma unapokuwa umetengeneza angalau rasilimali moja ya kudumu.
Kwa maelezo zaidi tazama: Rasilimali za Kudumu