M

AkauntiHamisha fedha toka Akaunti mbalimbali

Fomu hii inaruhusu kubadili jina la akaunti zilizojengwa ndani ya Hamisha fedha toka Akaunti mbalimbali.

Ili kufikia fomu hii, nenda kwenye , kisha , kisha bonyeza kitufe cha kwa Akaunti ya .

Fomu inahusisha maeneo yafuatayo:

Jina

Jina la Akaunti. Jina la kawaida ni Hamisha fedha toka Akaunti mbalimbali lakini linaweza kubadilishwa.

Kasma

Weka kasma ya akaunti ikiwa unataka

Kundi

Chagua kundi kwenye Taarifa ya Hali ya Kifedha ambako akaunti hii inapaswa kuwasilishwa.

Bofya kitufe cha Sasisha ili kuhifadhi mabadiliko yako.

Mkusudio wa akaunti hii ni kurahisisha hamisha fedha toka akaunti mbalimbali.

Kwa maelezo zaidi tazama: Hamisha fedha toka Akaunti mbalimbali

Akaunti hii haiwezi kufutwa, inaongezwa yenyewe kwa Jedwali la Kasma wakati umeunda angalau akaunti moja ya benki au fedha taslimu.

Katika taarifa, ikiwa salio la akaunti hii ni sifuri, unaweza kuificha ikiwa taarifa zako zimewekwa kwa Usihusishe kasma zenye salio sifuri.