M

AkauntiAkaunti maalum

Fomu hii inaruhusu kubadili jina la akaunti maalum zilizojengeka.

Ili kufikia fomu hii, nenda kwenye Mpangilio, kisha Jedwali la Kasma, kisha bonyeza kitufe Hariri kwa Akaunti maalum.

Fomu inahusisha maeneo yafuatayo:

Jina

Jina la akaunti. Jina la kawaida ni Akaunti maalum lakini linaweza kubadilishwa.

Kasma

Weka kasma ya akaunti ikiwa unataka

Kundi

Chagua kundi kwenye Taarifa ya Hali ya Kifedha ambako akaunti hii inapaswa kuwasilishwa.

Taarifa ya Mtiririko wa Fedha

Chagua kundi kwenye Kasma Taarifa ya Mtiririko wa Fedha ambayo akaunti hii inapaswa kuwasilishwa.

Bofya kitufe cha Sasisha ili kuhifadhi mabadiliko yako.

Akaunti hii haiwezi kufutwa, inajiwekea yenyewe kwenye Jedwali la Kasma wakati umetengeneza angalau akaunti maalum moja.

Kwa maelezo zaidi tazama: Akaunti maalum