Fomu hii ni mahali ambapo unaweza kuweka salio anzia kwa mwajiriwa.
Fomu inajumuisha maeneo yafuatayo:
Chagua mwajiriwa ambaye unataka kuweka salio anzia. Orodha hii inaonyesha waajiriwa wote uliyotengeneza chini ya kapu la `Waajiriwa`.
Chagua ikiwa salio anzia ni deni au mtoe:
•
•
Ingiza kiasi cha salio anzia. Hii inawakilisha kiasi halisi kinachodaiwa kwa au kutoka kwa mwajiriwa kama ya tarehe yako ya kuanzia katika Manager.