M

Kiwango cha kubadilishia Fedha

Kipengele cha Kiwango cha kubadilishia Fedha kinakuruhusu utengeneze na usimamia orodha ya kiwango cha kubadilishia fedha kwa sarafu zako za kigeni.

Ili kufikia skrini ya Kiwango cha kubadilishia Fedha, nenda kwenye kichupo cha Mpangilio, kisha bonyeza Sarafu.

Mpangilio
Sarafu

Katika skrini ya Sarafu, bonyeza Kiwango cha kubadilishia Fedha.

Ili kutengeneza kiwango cha ubadilishaji wa fedha kipya, bonyeza kitufe cha Badili kiwango cha ubadilishaji wa fedha.

Kiwango cha kubadilishia FedhaBadili kiwango cha ubadilishaji wa fedha