Fomu hii ni sehemu ambapo unaweza kuweka salio anzia kwa rasilimali za kudumu.
Fomu inajumuisha maeneo yafuatayo:
Chagua rasilimali za kudumu ambazo umeunda chini ya
Ingiza gharama ya ununuzi ya rasilimali za kudumu.
Ingiza limbikizo la uchakavu kwa rasilimali za kudumu.