Fomu hii inaruhusu kubadili jina la akaunti ya ndani ya
Ili kufikia fomu hii, nenda kwenye
Fomu inahusisha maeneo yafuatayo:
Jina la akaunti. Jina la msingi ni
Weka kasma ya akaunti ikiwa unataka
Chagua kundi kwenye Kasma Taarifa ya Mapato na Matumizi ambako akaunti hii inapaswa kuwasilishwa.
Chagua kasma ya kodi ya kawaida kwa akaunti hii ikiwa unatumia Kasma za Kodi.
Bofya kitufe cha
Akaunti hii haiwezi kufutwa, inajiwekea yenyewe kwenye
Kwa maelezo zaidi tazama: Muda wa kushughulikia ankara ya malipo