M

AkauntiFaida (Hasara) baada ya kubadilisha fedha za kigeni

Fomu hii inaruhusu kubadili jina la akaunti ya ndani ya Faida baada ya kubadilisha fedha za kigeni (Hasara).

Ili kufikia fomu hii, nenda kwenye Mpangilio, kisha Jedwali la Kasma, kisha bonyeza kitufe Hariri kwa akaunti ya Faida baada ya kubadilisha fedha za kigeni.

Fomu inahusisha maeneo yafuatayo:

Jina

Jina la akaunti. Jina la kawaida ni Faida (Hasara) baada ya kubadilisha fedha za kigeni lakini linaweza kubadilishwa jina.

Kasma

Weka kasma ya akaunti ikiwa unataka

Kundi

Chagua kundi kwenye Kasma Taarifa ya Mapato na Matumizi ambako akaunti hii inapaswa kuwasilishwa.

Kikundi cha Taarifa ya Mtiririko wa Fedha

Chagua kundi kwenye Kasma Taarifa ya Mtiririko wa Fedha ambayo akaunti hii inapaswa kuwasilishwa.

Bofya kitufe cha Sasisha ili kuhifadhi mabadiliko yako.

Akaunti hii haiwezi kufutwa, iniongezwa yenyewe kwenye Jedwali la Kasma yako unapokuwa na angalau sarafu moja ya kigeni.

Kwa maelezo zaidi tazama: Sarafu za Kigeni