M

Salio AnziaAkaunti maalumHariri

Fomu hii ni mahali ambapo unaweza kuweka salio anzia kwa akaunti maalum.

Fomu inajumuisha maeneo yafuatayo:

Akaunti maalum

Chagua akaunti maalum ambayo umetetengeza chini ya kisanduku cha Akaunti maalum.

Salio Anzia

Chagua ikiwa salio anzia linaonyesha deni au mtoe. Kawaida, unachagua Deni kwa akaunti ya mali na Mtoe kwa akaunti za madeni.

Salio Anzia

Weka kiasi cha salio anzia kwa Akaunti maalum hii. Hii inawakilisha salio la Akaunti maalum mwanzoni mwa kipindi chako cha uhasibu katika Manager.