Screen hii inaruhusu kuweka viwango vya kubadilisha fedha vya mwanzo. Hii inahitajika ikiwa biashara inafanya mipangilio ya masalio anzia kwa akaunti za sarafu ya kigeni.