Kichwa hiki kinakuruhusu kuweka masalio anzia kwa rasilimali za kudumu uliyotengeneza chini ya kichapo cha Rasilimali za Kudumu.
Tengeneza kiwango kipya cha mwanzo kwa rasilimali za kudumu, bonyeza kitufe cha Kiwango Kipya cha Mwanzo.
Utaelekezwa kwenye skrini ya Salio Anzia kwa ajili ya rasilimali za kudumu iliyo chaguliwa.
Kwa maelezo zaidi, onyesha: Salio Anzia — Rasilimali za Kudumu — Hariri